Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA
CONTACT: 0656292416
SEHEMU YA NANE(08)

***ilipoishia***
akaendelea kuvuta akamchana nusu kwa nusu utumbo ukamwagika chini..wale mafundi wawili waliobaki wakaanza kutimua mbio...mmoja aliona nibora ajiuwe kuliko kuuwawa kikatiri alijitosa kuanzia juu ya ghorofa mpaka chini akadondoka kwenye nondo zilizokuwa zimesimama zikamtoboa tumbo akafa pale pale..
yule fundi mwingine aliendelea kutimua mbio ghafla alijikwaa kwenye kipande cha tofali akadondoka sakafuni.....kiumbe yule akamfuata alipomkaribia ilisikika sauti ikitokea nyuma ya kiumbe huyo...............
yule fundi mwingine aliendelea kutimua mbio ghafla alijikwaa kwenye kipande cha tofali akadondoka sakafuni.....kiumbe yule akamfuata alipomkaribia ilisikika sauti ikitokea nyuma ya kiumbe huyo...............
***Endelea***
sauti hiyo ilikuwa ikiamuru kiumbe yule aache kumdhuru mtu yule...kumbe alikuwa ni fundi mkuu alitoka lisaa limoja lililopita alikwenda kariakoo kununua vifaa vilivyokuwa vimepelea....
fundi huyo alionekana kuogooa akaanza kutimua mbio kushuka upande wa chini......kiumbe yule akageuka na kumuuwa yule fundi aliyekuwa amejikwaa na kudondoka...akamnyanyua juu kwa kuikamata baraabara shingo ya fundi yule....akakosa pumzi haja ndogo na kubwa zikamtoka mfululizo...kisha yule kiumbe akakinyifoa kichwa cha fundi yule kwa kukizungisha akakivuta.....kisha akanyofoa mikono na miguu akatoweka kimiujiza....
fundi huyo alionekana kuogooa akaanza kutimua mbio kushuka upande wa chini......kiumbe yule akageuka na kumuuwa yule fundi aliyekuwa amejikwaa na kudondoka...akamnyanyua juu kwa kuikamata baraabara shingo ya fundi yule....akakosa pumzi haja ndogo na kubwa zikamtoka mfululizo...kisha yule kiumbe akakinyifoa kichwa cha fundi yule kwa kukizungisha akakivuta.....kisha akanyofoa mikono na miguu akatoweka kimiujiza....
**************
upande mwingine alionekana yule fundi mkuu akitimua mbio...aliamua kukunja kanzu aliyokuwa ameivaa ili akimbie kwa kasi zaidi...ghafla kiumbe ye alijitokeza mbele yake akamkamata na kumtoboa macho kisha akaingiza mkono mdomoni mwa fundi huyo akaushika ulimi na kuuvuta mpaka akaunyofoa.......akamtoboa tumbo kwa kucha zake na kuvuta utumbo ukamwagika chini kisha aka ivuruta maiti hiyo na kutoweka nayo kimiujiza...
latifa aliogopa baada ya kusoma tukio hilo kwenye sehemu ya sita ya hadithi ya kitabu cha chery...akakifunika kitabu haraka akachukua kiberiti ili akakichome moto.....akazipiga hatua kuelekea jikoni......alipowasha kiberiti alisita kukichoma kitabu kile akaamua kukifunua ili asome tukio linalofuata....alipoanza kusoma alitimua mbio akatoka nje akakitupa kiberiti...akaogopa kuingia ndani.. hadithi ilieleza kuwa....kunamwanamke alikuwa nyumbani kwake akazipiga hatua kuingia jikoni ili awashe jiko... kumbe koki ya mtungi wa gesi ilikuwa wazi haikufahamika. ni nani aliyeifungua koki hiyo..... hivyo gesi ilivija taratibu na kusambaa ndani ya myumba.........mwanamke huyo alipowasha kiberiti mtungi uliripuka na moto ukasambaa nyumba nzima mwanamke huyo aliteketea kwa moto.....
latiffa alirudi ndani akazipiga hatua za kunyatia mpaka jikoni....akausogelea mtungi wa gesi akainama ili asikilize kama gesi inavuja....ni kweli alisikia gesi ilikuwa inavuja....akakichukua kitabu na kutimua mbio kuelekea upande wa nje...alipofika nje hakusimama aliendelea kutimua mbio akatokomea kusikojulikana......
**************
upande mwingine walionekana mwanaume mmoja na mwanamke wakiwa barabarani ndani gari.....mwanaume huyo anaitwa Samwel......alikuwa na mahisiano ya kimapenzi na latifa ni miezi mitatu imepita tangu aliposafiri...siku hiyo alikuwa anarudi kutoka Arusha.........huyo mwanamke aliyekuwemo ndani ya gari alikuwa ni mfanyakazi mwenzake....hivyo aliona ni vyema akamtambulishe mpenzi wake latifa kwa huyo mfanyakazi mwenzake wa kike...
walipofika nyumbani kwa latifaa walishuka kutoka ndani ya gari.....Samweli aliona mlango upo wazi hivyo akajua kuwa latifa atakuwa upande wa ndani...
wakazipiga hatua na kuingia moja kwamoja mpaka ndani....samweli alimuita latifa lakini latifa hakuitika akaamua kuingia chumbani hakumuona...akatoka upande wa nje ili ajaribu kuangaza angaza macho huenda akamuona
walipofika nyumbani kwa latifaa walishuka kutoka ndani ya gari.....Samweli aliona mlango upo wazi hivyo akajua kuwa latifa atakuwa upande wa ndani...
wakazipiga hatua na kuingia moja kwamoja mpaka ndani....samweli alimuita latifa lakini latifa hakuitika akaamua kuingia chumbani hakumuona...akatoka upande wa nje ili ajaribu kuangaza angaza macho huenda akamuona
samweli alipotoka upande wa nje...yule mwanamke alitoa pakti ya sigara...akachukua sigara moja na kuiweka mdomoni.......kisha akatoa kiberiti alipokiwasha ghafla ulitokea mripuko mkubwa ukiambatana na moto mkubwa..... kutokana na msukumo wa mripuko, mwanamke yule alipoteza fahamu ......moto uliendelea kuwaka kwa kasi akaungua na kiteketea kabisa....samweli alichanganyikiwa akaingia ndani ya gari lake akaliwasha akatokomea kusikojulikana......
*************
upande mwingine alionekana yule kiumbe akiwa katika jumba moja kubwa lililokuwa ma mwanga hafifu.....ghafla akajibadilisha akawa yule mwanamke wa kizungu aliyemteka Chery miaka kumi na mbili iliyopita...kunakumbukumbu ilimjia akakumbuka miaka kumi na tano iliyopita....ilikuwa hivi mwanamke huyo alitoka wingereza kuja Tanzania kitalii na kutembelea mbuga za wanyama wakiwa huko SERENGETI kwenye hifadhi ya taifa....akiwa na familia yake.....walitokea watu jamii ya WAADZABE watu hao walikuwa wakiishi porini ......wakaiteka familia yake wakambaka mama yake pamoja na wadogo zake wa kike watatu kisha wakawachinja na kuwakatakata kwa mapanga wakamfuata baba yake wakamrawiti kinyume na maumbile....kisha wakamtoboa macho na kumkatakata mapanga....kisha wakachukua maiti hizo na kwenda kuzifanya kitoweo.....
wakati huo yeye alikuwa kichakani akijisaidi haja kubwa alijikaza ili wasimuone alijiziba mdomo huku anayashuhudia mauwaji ya kikatiri waliofanyiwa familia yake.....wale watu walipo ondoka alitoka na kutimua mbio bila kujua ni wapi anaelekea wakati huo alikuwa ni binti mwenye umri wa miaka ishirini(20) ilipofika usiku aling'atwa na mnyama ambae hajulikani kisha mnyama yule alikimbia....baada ya masaa kumi na mbili kupita akabadilika na kuwa kiumbe wa kutisha......pia alikuwa na uwezo wa kurudi katika umbo lake.......tangu siku hiyo aliingiwa na roho ya kikatiri aliwachukia waafrika akaanza kulipiza kisasi........
*************
upande mwingine alionekana latifa akitimua mbio alipohisi kachoka alisimama akakifunua kitabu kile ili aendelee kusoma aone matukio yanayofuata.........wazo likamjia akakifunika kitabu akaamua kurudi nyumbani kwake......
ITAENDELEA.......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni