HADITHI.
THE POWER OF LOVE.
SEHEMU YA 09.

ilipoishia
Zarina alipaki gari lake kunako kando ya jengo la hospital ya amana kisha akashuka na kuanza kuliendea jengo lile, hata baada ya kulifikia aliuwendea mlango na kuzama ndani
"Khaa" alichokiona mbele yake kilimshangaza sana,,
"Issaaa" zarina alisema akiwa kwenye taharuki ya namna yake,,

PAPATIKA NAYO SASA
Mbele yake kulikuwa na wavulana wawili mmoja akiwa ni mussa aliye kuwa beneti na issa, wawili hao walikuwa wamekalia benchi ishara ya kusubili kitu,,sauti ya kutajwa issa kwa mshangao kuliwafanya wengi kati ya waliokuwa eneo lile kuyatupa macho yao mlangoni,,hata issa nae hakuwa nyuma katika kumshuhudia yule aliye litaja jina lake,,
"Zarinaaa!!" issa naye hakuamini kile alichokiona hata ahisi macho yake yameanza kumtania,
"Issa umekutwa na nini my" kauli hiyo ilitamkwa na zarina akiwa anapiga hatua kuelekea pale issa alipo hata alipofika aliyaweka makalio yake karibu kabisa na issa,,
"Shem mambo" katika hali iliyomuacha hoi issa ni kauli ya zarina eti amemuita mussa shemu,
"Poa vipi" mussa alijibu kisha akawa kama zezeta kwa maana kila kilicho endelea pale kati ya issa na zarina kwake kilikuwa kigeni,yeye alipewa taarifa ya issa kuumizwa na dossa tu hivyo hakujuwa chochote kuhusu zarina laiti angejuwa kuwa mwanamke aliye mbele yake ndiyo chanza cha yote basi angemtimuwa kwa maana ameteketeza hata pesa yake ya akiba, mussa akiwa kwenye bumbu wazi ghafla alishtuka baada ya kushikwa begani,,
"Kaka shika hii" Dada mmoja aliyevalia mavazi ya rangi nyeupe aliongea hivyo huku akimkabidhi mussa karatasi fulani yenye rangi ya njano,,
"Unatakiwa ulipe hizo pesa ndo uondoke na mgonjwa wako" Dada yule aliongeza kisha akaanza kupiga hatua,, wakati hayo yakiendelea zarina alikuwa makini sana kuyafatilia japo alikuwa bize na maongezi ya pole dhidi ya issa lakini masikio yake hayakuwa mabovu kiasi cha kukosa kusikia kilicho ongelewa na yule Dada,,
"Shemu mbona unamawazo jaman em hiyo cheti" aliipokea kisha akaanza kuisoma mwanzo mwisho hata baada ya kuimaliza kuna kitu alikigunduwa na ndo kilichomfanya mussa apagawe kama si kudata,
"Nakuja" zarina alisema kisha akajinyanyua kuelekea nje huko hakukaa sana tayari alikuwa amerejea akiwa na pochi iliyo nona,,
"Taa,taa, taa" mlio wa kufunguliwa kwa pochi ulisikika kisha zarina akazamisha mkono wake na kutoka na wekundu wa msimbazi,,
"Moja, mbili, tatu,................kumi" kisha akazibana kwa pamoja,
"Moja,mbili, tatu,...............kumi" nazo akazibana pamoja,, alifanya hivyo hadi zilipo timia laki nne na elfu sabini kisha akamkabidhi mussa,,
"Shemu nenda kalipe tuondoke na mgonjwa wetu" mussa alihisi labda akili yake imerogwa japo alizipokea pesa zile lakini hata yeye alijishangaa kwa maana vidole vyake vilikuwa vinatetemeka kama anakabidhiwa kibuyu cha uganga,, alijikaza kiume kisha akafanya taratibu zote hivi sasa walikuwa ndani ya gari la zarina kuelekea wanapoishi,,

Hata walipofika walitumbukia ndani huku zarina akiwa kiongozi utazania yeye ndo maza geto,,
"Griiii,Griiiii,Griiiii, simu flani hivi aina ya Obama ilikuwa inaunguluma mfukoni kwa mussa hapo aliipokea na kuiweka sikioni,,
" Ok rasi nakuja sasa hivi" mussa alisikika alisema hivyo kisha simu ikakatwa na akairudisha mfukoni,,
"Daah"
"Vipi bro mbona umechoka ghafla?" Issa alitupa swali kwa mussa mara baada ya kumuona amekikamata kiuno chake huku akionekana kuishiwa pozi,,
"Rasi amenikolu inabidi twende moro"
"Lini"
" sio lini yani natakiwa sasa hivi"
" ok we nenda bro usihofu kuhusu mimi maana hapa najisikia fresh wenda kesho nkaenda kuamsha" issa alisema kumtoa wasi wasi mussa,,

Mussa bado alibaki kunako mawazo si kama hakuisikia kauli ya issa lahasha alichokuwa anaumiza kichwa ni kukosa hata jero ya maji,
"Huuuuu" mussa alishusha pumzi ya uchovu huku jasho jembamba likisurubu ngozi yake,,
"Ok, acha niwaache basi tutaonana kesho au kesho kutwa" tayari alianza kuzitandaza atua zake kuelekea nje,,
"Shemu nsubili kwanza" hapo mussa aligeuka kama kinyonga sekunde kadhaa tayari zarina alikuwa karibu naye,,
"Shika hii shemu ikusaidie kwa matumizi madogo madogo" mussa alibaki mdomo wazi pesa aliokabidhiwa haikuwezekana hata siku moja kuitwa ya matumizi madogo madogo,,
" Aa..aaa...asante"
"Ok safari njema"
Najuwa unataka kujuwa kiasi cha pesa alichopatiwa mussa ila sio kazi yako wewe soma story ukimaliza fanya mambo yako wacha umbea,, naongea na wewe msomaji wa hii story,,

Uso wake ulipambwa na tabasam pana, safari yake iligeuka lulu hivi sasa alikuwa njiani akipiga hatua za kibabe waleti yake ilionekana kutuna we acha tu, laiti ungejuwa kiasi cha pasa alicho pewa basi wivu ungekuvagaa sana,,mussa alizidi kupiga mwendo hadi akatokomea mbali kabisa na upeo wa macho yangu,,
*************************
Mlango ulipigwa roki kwa ndani aliyefanya hayo yote alikuwa ni zarina hivi sasa aliyabwaga makalio yake kunako sofa hapo alikuwa karibu kabisa na issa,,
"Issa najuwa ni jinsi gani nmekukosea so naomba unisamehe sana my"
" huna haja ya kuniomba msamaha zarina tambuwa hukunikosea"
"Unamaana gani kusema sijakukosea wakati soko zima limetokea kunichukia"?
" ahahaha,zarinaa mimi ndye natakiwa nkuombe msamaha kwa kushindwa kuzizuwia hisia zangu"
" bado sijakuelewa issa"
" kuniita mimi masikini wala halikuwa kosa kwa maana siwezi kupingana na hali yangu,, hata kofi ulilonipiga nilistahili kwa kuwa moyo wangu ulikosa nidhamu" kauli ya issa ilikuwa zaidi ya mwiba kwa zarina, tayari chozi la majuto lilianza kuiazibu ngozi yake,,
" is...saaa...a,p..p..pliiz" hata hakumaliza alicho kikusudia tayari kilio kilimuandama,,
"Huna haja ya kulia zarina" issa alisema hivyo lakini hata yeye alianza kutokwa na machozi,,
'"Hap...aana issa naomba nsamehe nakupenda aa'" kauli ya zarina ilitoka kwa vitendo tayari kiganja chake alikipandisha kunako mashavu ya issa na kuanza kumfuta machozi,, issa japo alikuwa na kauli za maumivu lakini alivyosikia neno anapendwa ghafla moyo wake ukachanuwa kama jani la mgomba,,
Mikono yao ilikamatana wakaanza kuminyana vidole, yale machozi yao ya udhuni hata wasijuwe wapi yalipo,,walitazamana kwa sekunde kadhaa kisha zarina akachanuwa mdomo wake na kuchezesha ulimi uliopendeza kwa kulowana na mate,,issa alijuwa nini maana yake hapo akaupokea kwa bashasha kitendo kilichomfanya zarina ayafumbe macho yake,,
"Mmmmmmh" zarina alianza mautundu,, issa hakuwa na papara kwa mwendo wa kinyonga alipitisha mkono wake kunako blauzi ya zarina hapo akakutana na vichuchu vdogo vyenye kuvutia,,
"Sshhhhhhhhh" zarina aliruka kidogo mara baada ya issa kubinya moja ya chuchu zake alionekana hapo ndipo yalipo mashetani yake,, issa alianza kuitoa blauzi ile huku zarina akionyesha ushiriano kwa vitendo kwa maana aliilegeza mikono yake na kufanya blauzi itoke kwa haraka,,

"NGO,NGO, NGOOO" wenyewe humu ndani ,
NGO, NGO, NGOOOO" sauti ya ugongwaji wa mlango ndiyo iliyokatisha sterehe ya issa na zarina , mbaya zaidi mgongaji alikuwa mwanamke tena aligonga kwa fujo sana"
"NGO, NGO, NGO, mgongaji aliendelea..............

Itaendelea.......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni