HADITHI..........................
THE POWER OF LOVE.................
SEHEMU YA 07...........................

SONGA NAYO SASA>>>
Waliongea mengi wakiwa njiani hatimaye wakafika kunako nyumba moja hapo wakazama ndani kisha wakailaza miili yao juu ya godoro,,
Siku iliyofuata walikuwa soko la buguruni wakipiga story za hapa na pale, tayari issa alitafutiwa mishe hivi sasa alikuwa nje ya soko akiwa katandika kiroba chake chini na kutenga baadhi ya mafungu ya nyanya,vitungu, hata baadhi ya matunda pia,, mussa ndiye aliye mfanyia mpango na alimuahidi kumtafutia ubao ndani ya soko ili aweze kuganga na maisha,,
Siku zilizidi kusonga mbele huku issa angalau ameanza kuyasahau yote yalio mtokea,taratibu alianza kuzoeleka na kazi yake kutokana na ucheshi wake na vituko vya kila aina,, mussa aliendelea na kazi yake ya usafirishaji wa matunda na mihogo mibichi, chochote akipatacho hakusita kugawana na rafiki yake issa hakika walipenda sana,,
"Weee fungu mzigo, fungu mzgooooo, za kubembelezea ndoaaaaa hizoooo" yalikuwa maneno ya issa akiwa nje soko akiendelea kupamba biashara yake kutokana na maneno yake hayo ilimfanya awe vituko sana kwa wateja na wengi walipendelea swaga zake haswa watoto wa kike,,

Siku mmoja akiwa anapanga biashara yake ilikuja gari moja aina ya Nissan morano ikapaki pembeni yake kisha akashuka mtoto mmoja matata,, uzuri wake ulifanya wengi wasitishe mambo yao waanze kumkodolea macho,, Dada yule kama aliligundua hilo hapo akarudi nyuma hatua kadhaa kisha akazama tena ndani ya gari huko akawesha radio ya gari hata baada ya kuwaka akawa na kazi ya kutafuta mziki ulio mfaa,, wimbo wa rayvan ndiyo alio uchagua ule aliyemshilikisa platamz"SALOME" ila hakutaka uanzie mwanzo hapo akaupeleka mbele,,
"WANAKODOWAAA MACHO KODO, WANAKODOAA" kipande hicho alikiona kinamfaa hapo hakutaka kubaki ndani ya gari tena hivi sasa alikuwa njiani kuliendea soko huku nyuma akiacha kokoro,,
"Habari yako kaka" Dada yule hata kabla hajalifikia soko alitoa salam kwa kijana mmoja aliyekua bize na upangaji wa biashara yake nje ya solo,
"Pouwaaa" kijana yule alijibu kwa bashasha alionekana ni mtu wa makuzi sana,,
"Una maembe mazuri"
" Hayakupiti wewe Dada angu"
"Mmh wacha zako em ntajie bei"
" hapo kuna ya jero, na hayo makubwa kama maboga ni huku"
"Ahahaha eti kama maboga, mmh unavituko ila yanafaa kwa juice""?
"" haya ndo yenyewe Dada"
"Ok nipe hayo ya buku"
"Mangapi Dada au kumi?""kijana yule aliuliza kwa dhihaka akijuwa Dada yule hotoweza kuchukuwa maembe zaidi ya matano,,
"Nipatiee kumi na tano"
" mmh" kijana yule aliguna kisha akamtazma yule Dada kwa wizi wizi,, hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya vile mteja wake ametaka,,

Dada alikabidhiwa fuko la embe kisha akatoa noti mbili za elfu kumi na kutimka zake,,
"Dadaaa, dadaaa," kijana yule alipiga ukelele huku akimkimbilia yule Dada aliyeanza kupiga hatua zake kwa madaha,,
" umesahau chenji yako" kijana alisema mara baada ya kumfikia,,
"Usijar kaka baki nayo tu" kauli hiyo ilimfanya kijana wa watu asiyamini macho yake,,
"Asante sana Dada angu"
" usijari kaka"
" samahani Dada mm naitwa issa kama hutojali ningeomba nikufahamu"
"Ok niite zarina ukipenda zari" huo ndyo ukawa mwanzo wa mazoea kati ya issa na zarina,, mazoea yao yaliendelea kukuwa siku baada ya siku,,moyo wa issa alianza kuhisi vitu tofauti hata awe anatumia muda mwingi kumuwaza zarina kuliko hata maswala ya kazi,,
"'Hapana mm ni mwanaume lazima nimwambie ukweli"" issa alisema kisha akaendelea na mambo mengine,,

Jumaamosi moja tulivu issa aliwasili kunako biashara yake kama ilivyo kawaida yake,, siku hiyo alipanga kuvunja ukimya
Kama ilivyo kawaida majira ya jioni zarina alitia tumu,,moja kwa moja akamuendea rafiki yake akafanya manunuz kisha soga za hapa napale zikaanza ,, issa aliona nafasi pekee ni hiyo,,hapo akajiweka sawa,,
"Zarina"
"Sema kaka"
"kuna ishu nataka nkwambie"
" ondoa shaka kaka"
" kama ikatokea nmekuudhi naomba nisamee tu bure ila ukweli nmetokea kukuelewa sana zarina, issa aliyasema hayo akiwa ameyakaza macho yake huku akiwa hana hata mbunje ya utani,japo alijiona hafanani na zarina lakini kama mwanaume alijiamni sana,,
"Unamaana gani kaka"
"Nakupenda na nahitaji uje kuwa mke wangu wa ndoa"
"Khaa we unakichaa au"
"Hapa........."
" shut up, mpuuzi mkubwa wee inamaana kukusaidia kwangu kwa viji senti senti Leo unakuja kunieleza ujinga kama huo" zarina alichachamaa,
" sio hivyo zarina amini nakuhi........
"Pahaaaa" issa hata kabla hajamalizia kauli yake alistukia kibao cha kifedhuli kikituwa kunako shavu lake,,
"Hivi we kinyago cha mpapule una hadi ya kutembea na mm,, zarina aliyaongea hayo huku akijizungusha zungusha kwa namna ya kujikagua,,wakati huo issa alikuwa ameshikilia shavu lake kwa maumivu,,

Kama ujuwavyo wabongo tulivyo tayari umati ya watu ulikusanyika wakawa wamewazunguka akina issa,
" zarina unadiliki kunipiga kibao mm" issa alisema huku akilengwa na machozi
"Khaa, nisikupige we nani kwangu , we kama nani ee si nakuuliza we masikini wa mungu" ,,,zarina aliongea huku akisogea karibu na uso wa issa akatengeneza Kofi lingine kisha akarusha tena kwa kasi ya risasi,,
'"Taap" issa aliudaka vyema mkono wa zarina kisha akasokota ngumi moja takatifu, akakusanya nguvu kisha akairuhusu ngumi kunako pua ya zarina,,
"" mama weeeeeeee"

************************
Itaendelea..............
Itaendelea..............
mpo juuu jamani muendeleee hivyo hivyo
JibuFutampo juu nawaamini
JibuFuta