ILIPOISHIA
Ghafla ngo'mbe zikapoteza uwezo wa kuona huku vimiminika mithiri ya povu vikiwatoka hata haikuchukuwa muda ngo'mbe zile ziliiendea ardhi kwa namna ya kuilalia kisha pumzi zao zikawasariti,,
POROMOKA NAYO SASA......Mikono yao ilikuwa kiuoni huku wakigubikwa na mshangao na taharuki isiyo elezeka,, mmoja wao akatowa wazo la kwenda kuyakagua maji hata baada ya kusema kauli wote waliurudia mto na kuukagua,,
"Khamadee" hapo walizidi kuchoka mara baada ya kugundu haukuwa na usalama maji yalikuwa yana nata mithiri ya kisheti,, hakuna hata mfugaji mmoja aliye shindwa kugundua maana ya unataji ule hapo wakatazamana usoni kisha wakatikisa kichwa kuonyesha kuna jambo waliafikiana kwa ishara,,

Asila walizokuwa nazo hazikuwa na mfano hapo wakaingoza mifugo yao iliokuwa tofauti na ngo'mbe na kurudi kambini kwao,,hata walipofika hawakuwa na muda wa kupoteza hivi sasa walikuwa njiani wakiwa na haraka kupita kiasi,,mikono yao alikusanya siraha mbali mbali,,kuna waliobeba mapanga, wengine sime bila ya kusahau visu vilivyo hifafhiwa kuna hala na kupachikwa kiunoni,,walikatiza kona kadhaa hatimaye wakaufikia mji wa wakulima hapo hawakutaka kuuliza tena walitembeza kichapo kwa kila anaye katiza mbele yao,, hawakujali mtoto wala mkubwa mjamzito wala kikongwe waliakikisha kila anayeitwa mkulima basi kichwa chake ni halali yao,,
Kelele za maumivu ndizo zilizo washtuwa wengine waliokuwa kunako shughuli zao hata waliposogea eneo la tukio walibaki vinywa wazi kwa maana baadhi ya vichwa vya watu vilitapakaa chini,,
"'Jaman mwanaaaangu"" mama mmoja alipiga yowe baada kumuona mwanaye kipenzi akiangaika kujiokoa kwa kukimbia lakini hakufanikiwa kwa kuwa alikuwa ni mlemavu wa macho,,alijikuta analivaa panga na roho yake ikaacha mwili,,

Wakulima nao hawakuwa nyuma japo walishtukizwa lakini hawakuonyesha udhaifu,, vita ya wakulima na wafugaji ilishika kasi si mchezo,,damu ziliendelea kuruka huku baadhi ya viungo vya binaadamu vikiteketea chini kama majani makavu,,eneo la tukio haliku tofautiana na somalia iliyovamiwa na waasi,,
"Mama weeee nakufaaaa" mama mmoja mjamzito alipiga ukelele mara baada ya sime lenye ncha kali kukita kunako tumbo lake na kufanya utumbo na zaga zaga zingine kutokeza nje bila ya hiyari,,
"Mama weeee nakufaaaa" mama mmoja mjamzito alipiga ukelele mara baada ya sime lenye ncha kali kukita kunako tumbo lake na kufanya utumbo na zaga zaga zingine kutokeza nje bila ya hiyari,,
Saa limoja lilitokomea vita ile ilionekana kupoa mara baada ya baadhi ya wakulima kutimuwa mbio hii ilitokana na kuzidiwa kwa mapambano,,baadhi ya wakulima walikuwa chini huku vichwa vyao vikisaritiana na viwili wili vyao,,kuna waliopoteza mikono, na wengine miguu hata wengine walikufa huku wakipoteza sehemu zao za siri,,wafugaji walijikaguwa na kujikuta wamebaki wanne tena wakiwa hoi bin taaban,hawakutaka kuishia hapo walianza kuchoma moto majumba ya wakulima ili kuziridhisha nafsi zao,,
***************************
Vijana waliendelea kupiga kazi ya kupakia matunda kunako gari maalum,, miongoni mwa wale vijana pia issa alikuwa mmoja wapo,,walipakia kwa kasi hata baada ya kumaliza walitafuta maeneo kisha wakajipumzisha kwa vikundi na kuanza kupiga soga,,
"Oya mwamba vp sasa nafasi ndiyo hii mzazi",, kijana mmoja alisema hayo akiwa na issa maeneo flani wakipiga story,,
"Dah unajuwa babu cjamwambia" issa alijibu,,
"'Unazingua kamanda""
"Hamna, basi ngoja nkajiandae fasta na nimuage na babu,
"Wahi basi maana suka karibu ataamsha",,issa alikuwa na mlango wa kwenda dar kusafisha macho maana tangia azaliwe hakuwahi kufika,,hakuwa na ndugu ila kuzoena kwake na watu kulimfanya apate rafiki aneitwa mussa ambaye alimuahidi atafikia kwake,,
Hivi sasa alikuwa njiani kuelekea kwao,,hakuwa na uhakika kama babu yake angemkubalia ila alijipa moyo na kuzidi kusonga mbele,,alichapa rapa hatimaye akaufika mji wa kijiji chao ghafla akapata mshtuko baada ya kushuhudia nyumba zikiteketea kwa moto huku akifanya kazi ya kutambuka miili isiyo na vichwa,,alitembea kwa taharuki mikono yake ikiwa kichwani huku ameliachia domo kwa mshangao,,
"Khaa, babu" issa nusura apige mueleka baada ya kumshudia babu yake akiwa na mkono mmoja huku sehemu yake ya tumbo ikiwa na jeraha kubwa sana,,issa alisogea karibu na babu yake kisha akapiga magoti na kuanza kumtikisa babu yake,,
"" babuu , babu",,
"Is...as.asaa mjuk....uu wangu....ki....ki...kimbiaaaa, waa..wa...fu..fu..gaji, waa..aaa......a,, hata kabla ya kumaliza kauli yake alijinyoosha kwa nguvu na baada ya sekunde kadhaa roho yake ikaacha mwili,,

" babu,,babuuu,babuuuuuuuu, noooooooo",issa aligundua babu yake nini kimemkuta alianza kuhisi dunia inamnyima haki, afafhali vifo vya wazazi wake hakuvishuhudia kwa maana walikufa akiwa mdogo sana,,kelele alizopiga zilisikia na wafugaji ambao walishaanza safari kwa kuchechemea kwa walipanga kuto kubakisha mtu waliamuwa kugeuza ili kukata kichwa cha aliye bakia,,
Hivi sasa walikuwa njiani wakichangana mbaliga zao kwa kukimbia,,
"Puuuuuh, yalaaaa" mfugaji mmoja alianguka km Kole la nazi, damu nyingi zilimtoka hata alipojiangalia vizuri aligundua kisu chake mwenyewe kimemsariti na kutumbukia tumboni,, wenzie hawakujali waliendelea na safari yao hivi sasa walibaki watatu,
"" yulee paleeee" mmoja wa wafugaji alisema ,, kauli hiyo ilipenya kunako ngoza za masikio ya issa hata alipogeuka alipata mshangao baada ya kuiona mipandikizi ya kikulya ikiwa karibu nae,,njia pekee ya kuinusuru roho yake ni kukimbia tu ni hapo issa alipoudondosha mwili wa babu yake aliokuwa ameupakata ili akimbie lakini alijikuta yupo chini baada ya kupokea mtama mmoja wa haja,,

Mijitu ile yenye hasira za waziwazi hakuishia hapo tu walimnya nyua issa kisha mmoja wao akaliandaa panga na kulishusha sehemu iliyopo shingo ya issa,
"" pahaaaa" sauti hiyo ilisikika huku ukionekana mwili wa mtu ukishuka chini kama kiroba kisichokuwa na kitu..........
Itaendelea......
naomba hadithi nyingine
JibuFutanawapenda maadmini wa blog hiii!!! mpo juuuuuuuuuu!!
JibuFuta