---ILIPO ISHIA---
"Habali yako baba achiwalila"...Marehem mama achiwalila alimsalim baba achiwalila huku sauti yake ikijirudia mala mbilimbili mithili ya mwangwi ...lakini baba achiwalila hakujibu salam aliyopewa na marehem mke wake bali aliogopa sana akawa anatetemeka mwili mzima huku jasho la kutosha likimtoka na taulo nalo limeshamdondoka kwa woga..

ENDELEA NAYO..
Basi wakati baba achiwalila akiwa hoi taabani asiamini anachokiona mbele yake,mala ghafla mama noeli aliyekua sebleni nae akawa ameingia chumbani na akamkuta baba achiwalila akiwa amelowa jasho huku taulo lake likiwa chini..."baba achiwalila mbona sikuelewi mme wangu umekutwa na nini eeeh niambie basi jamanii"...Mama noeli ambae ndio mama yake wa kambo achiwalila,alimuuliza hivyo baba achiwalila....lakini nae hakumjibu chochote mke wake zaidi ya kunyoosha kidole kitandani ambapo alikua amekaa marehem mama achiwalila.
"nini kwani ee kitandani kuna nini baba achibona sikuelewi??..Aliongeza kwa kuongea hivyo mama noeli baada baba achiwalila kunyoosha kidole pale alipo marehem mama achiwalila...lakini mama noeli hakuona kitu chochote zaidi ya mito ya kulalia ila baba achiwalila yeye alikua akomwona marehem mke wake akiwa kaketi kitandani na mavazi yake meupe(sanda).

"Hakika wewe ndio mtetezi pekee ambae ungeweza kumlinda mwanao ili akue katika malezi bora mpaka pale atakapo kua na umri wa kujitegemea,sasa leo hii wewe na huyo mke wako ndio mmekua kikwanzo kwa mpaka mwanangu anakosa mtu wa kumtetea..kwanini"...Aliongea hivyo marehem mama achiwalila ambapo alimaliza kwa kuuliza swali...lakini baba achiwalila hakuweza kujibu chochote aliogopa sana kumwona mtu ambae alishafariki miaka kadhaa harafu kurudi tena duniani.."nakuuliza mbona hunijibu??..Mama achiwalila alirudia kuhoji tena wakati huo baba achiwalila akisaka mlango wa kutokea pale chumbani..
"sawa yote nayaona ila nadhani ipo siku wewe na huyo mke wako mtanitambua mimi ni nani naondoka"...Na hatimae marehem mama achiwalila akawa amepotea pale kitandani huku akiwa amemwachia ujumbe mzito baba achiwalila...

"haaaaaaaa"...Alishusha pumzi baba achiwalila akiwa bado haelewi kama kile kilichotokea ni kweli au ni ndoto...."vipi mme wangu uko sawa kweli"...Mama yake wa kambo achiwalila alimuuliza hivyo baba achiwalila...lakini nae akawa amemjibu kwa kifupi"Niache kwanza ebo"...Hakika lilikua jibu ambalo lilijenga fikra tofauti kichwani mwa mama noeli huku akijiuliza kipi kilicho mkuta mme wake mpaka kimfanye ambadilikie usiku ule...lakini yote kwa yote mama noeli aliamua kumwacha mme wake atulize kichwa hadi hapo kesho atakapo kuwa sawa ndio atakaa nae na kumuuliza kilicho msibu usiku wa jana.
*** ******
Hivyo baada ya hayo kupita,huku nako achiwalila hakuweza kulala kwani mwili wake ulikua ukimuuma kwa kipigo alichokua amekipata kutoka kwa baba yake vilevile njaa kali aliyokua tumboni nayo ilimfanya achiwalila kukosa hata lepe la usingizi...hivyo mda wote alikua kaa kitandani mwisho kabisa akiwa ameegemea ukuta akiwaza nini hatma yake juu ya manyanyaso anayo yapata kutoka kwa mama yake wa kambo na baba yake mzazi ambae ndio angekua mkombozi wake baada mama yake mzazi kuaga dunia..lakini mwisho achiwalila aliishia kulia tu palepale kitandani.
Basi wakati achiwalila akiwa analia,ghafla alisikia sauti ikiongelea chumbani kwake na kama kawaida sauti ilikuja na mwangwi mkali uliofanya binti achiwalila kusitisha kilio chake...."achiwalila achiwalila achiwalila mwanangu,sogea mahali nilipo mama yako"..
.Basi baada achiwalila kuisikia hiyo sauti iloyokua na ikija na mwangwi thahili alijua ni sauti ya marehem yake hivyo aliinuka kutoka kitandani kisha akaelekea kwenye dirisha la chumba chake na akawa amechungulia nje mahali lilipo kaburi la mama yake na ndipo alipo mwona mama marehem mama yake akiwa kasimama kwenye kona ya kaburi...Basi achiwalila alitoka chumbani kisha akafungua mlango wa kutoke ndani na akawa ameelekea nyuma ya kaburi ambapo lilipokua kaburi la mama yake...na baada kulifikia tu marehem mama yake akawa amepotea na zikawa zimetokea sahani mbili za chakula...Kiukweli achiwalila nae baada kuziona alichangamka akala haraka haraka.. na baada kumaliza kula aliondoka pale kaburini huku akitazama huku na kule akihofia kama kuna mtu alie mwona,lakini baahati nzuli hakumwona mtu yoyote....Ila sasa wakati achiwalila alipo taka kuingia ndani baada kutoka kaburini kula chakula,hatimae alikutana uso kwa uso mlangoni na mama yake wakambo ambae nae alikua akienda nje huku mikononi akiwa ameshika nazi na mayai mawili ya kuku pia akiwa amevalia mavazi yenye rangi nyesi..
"Nilikwambia nini kuhusu kutoka nje usiku??...Achiwalila aliulizwa hivyo kwa sauti ya ukali iliyotoka mdomo mwa mama yake wa kambo..lakini achiwalila hakujibu chochote zaidi ya kutetemeka kwa woga."haya embu shika hii nazi na haya mayai alafu nisubili hapo hapo,sasa olewako utoke"..Achiwalila alipokea vile vitu ambavyo alikua navyo mkononi mama yake wa kambo,nae alipo mkabidhi achiwalila nazi na mayi akawa ameingia chumbani kwake na kulanzimisha baba achiwalila aamke...kweli licha ya baba achiwalila kuchoka baada ya mkasa ambao ulimkuta ila aliweza kutii wito wa mke wake na akawa amtoka nae moja kwa moja hadi pale mlangoni ambapo alikua amesimama achiwalila huku akiwa ameshika nazi na mayai aliyopewa na mama yake wa kambo.

"baba achiwalila unaona mwanao kashika nini,na anania gani??
ITAENDELEA
ni nzuri kaka tupe nyingine brooo
JibuFutatupo pamoja
Futalakini mapema pleas?!!
JibuFuta