Contact:0689092982

Mtunzi:Alexander beath
Nilipiga kelele baada kumwona yule mtu ambae alikua amevaa mavazi meupe(sanda)akipiga hatua kunifuata mlangoni nilipokua nimesimama mda wote..wakati huo ndugu zangu wakiwa wanakoroma ndani kwa kunogewa na usingizi.
Basi yule mtu alizidi kunifuata na hatimae akawa amenikalibia..."mbona unaniogopa me sio ndugu yako??.. Aliongea hivyo yule mtu wakati mimi mwili mzima ukiwa unasisimka ..."kaka kwani kwani unaoshi wapi kaka"..Na mimi nilipiga moyo konde kisha nikamuuliza hivyo baada kugundua yule ni marehem kaka yangu ambae muda wote alikua akinitokea...lakini alipotaka kunitajia mahali anapoishi mala ghafra alipotea kimazingara na baada kupotea mlango wa nyumba ulifunguliwa kisha akatoka dada yangu kwa niaba ya kwenda chooni kujisaidia..."we nani"..Dada aliuliza kwa woga baada kuniona nikiwa pembeni ya mlango,maana alikua bado hajanijua...."me mdogo wako Alex"...Nilimjibu huku nikijisogeza mlangoni kwa niaba ya kuingia ndani..."jamani wew yaani wew tangu mda ule uliofata baiskeli ndio unarudi sasa hivi??"..Dada aliniuliza hivyo huku akionekana kunionea huruma.."ndio dada maana baba kanibana mpaka nimletee baiskeli yake".. Ndipo nami nilivyo mjibu dada wakati huo tayali nimeshaingia ndani..na dada nae akiwa anaelekea chooni kujisaidia na punde si punde alirudi akaingia ndani..."vp dada kunachakula chochote kilichobaki??"...Nilimuuliza dada mala tu alipotoka haja.."kipo ila baba kakataa usipewe"..baada kusikia hivyo,nikamuuliza. "kwanini?"..."mmmh hata mimi $ijui"..Dada alinijibu hivyo huku akiingia chumbani kwake akiniacha mimi sebleni..
»»»»
Daah kiukweli roho iliniuma sana baada kusikia vile kwamba mzee wangu kazuia me nisipewe chakula..wakati shughuli za shamba zote nahusika..kiukweli hapo nilihisi huwenda kuna kitu kilicho jificha nyuma ya panzia.....Basi niliingia chumbani kwangu,na kwa kua chumba kilikua na giza ilinibidi nipapase kwenye meza ili nipate kibiriti..lakini cha ajabu wakati nikipapasa papasa kutafuta kibiriti ili niwashe kibatari mala ghafla nilimgusa mtu akiwa amekalia meza hivyo nilishtuka..haraka bila kukawia nilirudi nyuma..."mungu wangu"..Nilijisemea hivyo huku mapigo ya moyo yanienda mbio na kijasho chembamba kikinitoka kwa mbaaali mwili nao ukinisisimka...huku nikijiuliza ni mtu gani aliyomo chumbani kwangu kwa usiku ule..lakini wakati nikijiuliza mala ghafla kibatali kiliwashwa ila alie kiwasha hakuonekana ....
hahahaaaa nouma sana...Sio mchezo haja ndogo ya bila kutegemea ilinitoka .
hahahaaaa nouma sana...Sio mchezo haja ndogo ya bila kutegemea ilinitoka .
»»»
Basi niliangalia huku na kule juu chini,lakini sikuweza kuona kitu chochote hivyo nilipiga moyo konde kisha nikapanda kitandani ili nilale...Hakika usingizi ulikataa kuja aiseeh kwa sababu akili yangu yote ilikua ikimfikilia yule mtu nilimgusa gizani wakati nikitafuta kibiriti vilevile nilikua nikijiuliza ni mtu gani alie washa kibatali..kwahiyo ndio maana nilikosa usingizi...
Basi wakati nikikodoa macho bila kupata usingizi...ghafla ulikuja upepo mkali wa dakika kadhaa tu ukawa umezima kibatali...
hivyo giza likawa limetawala chumba kizima....Niliogopa sana baada kuona hali ile hivyo nikawa nimejifunika blanket kuanzia miguuni mpaka kichwani ili nisishuhudie kitakacho tokea baada kuzimwa kibatali.
hivyo giza likawa limetawala chumba kizima....Niliogopa sana baada kuona hali ile hivyo nikawa nimejifunika blanket kuanzia miguuni mpaka kichwani ili nisishuhudie kitakacho tokea baada kuzimwa kibatali.
>>
Hivyo basi kimya kilitaala chimbani kwangu,huku na mimi nikipumua kwa mbaaali bila hata kutikisika hata kama mbu aliekua ndani ya blanket kanikata wote huo ulikua woga...Lakini wakati kijipaba kupua hata kutikisika...hatimae niliweza kuhisi kama mtu kalala mbele yangu hivyo nikanyoosha mkono wangu polepole ili nijue kama kweli kuna mtu kala mbele yangu...Kweli niliponyoosha tu mkono..nilimgusa mtu mwili wake ukiwa wa baridi sana...Basi hapo sijui nieleze vipi kwamba nilikuaje kuaje pale kitandani..na kibaya zaidi wakati naingia ndani kulala nilisahau baiskeli ya mzee wangu nje...!!
Hivyo basi kimya kilitaala chimbani kwangu,huku na mimi nikipumua kwa mbaaali bila hata kutikisika hata kama mbu aliekua ndani ya blanket kanikata wote huo ulikua woga...Lakini wakati kijipaba kupua hata kutikisika...hatimae niliweza kuhisi kama mtu kalala mbele yangu hivyo nikanyoosha mkono wangu polepole ili nijue kama kweli kuna mtu kala mbele yangu...Kweli niliponyoosha tu mkono..nilimgusa mtu mwili wake ukiwa wa baridi sana...Basi hapo sijui nieleze vipi kwamba nilikuaje kuaje pale kitandani..na kibaya zaidi wakati naingia ndani kulala nilisahau baiskeli ya mzee wangu nje...!!
CHUMA ULETE YA CHUNGU
JibuFutaKwanza CHUMA ulete Ni nini?
Ni dawa ambayo utengenezwa kwa mkusanyiko wa utaratibu Fulani unaofanyika kwa pamoja kwa mlengo wa uvutaji au uvunaji wa fedha kutoka sehemu tofauti au mbalimbali.
(Kwa uhitaji wa NDAGU AU JIHNI WA MALI AU FEDHA NA KINGA YA MWILI NA MALI KWA UJUMLA NIPIGIE SIMU MOJA KWA MOJA DOKTA MDIRO +255 742162843 KWA MAELEKEZO HATA KAMA UKIWA MBALI MALIPO NI BAADA YA MAFANIKIO).
CHUMA ulete katika utengenezwaji hutumika jini anayeitwa GHUUL ambae uleta au uvuta fedha kimazingala kutoka sehemu mbalimbali kwa utaratibu maalumu. CHUMA ulete zipo Aina nyingi Ila leo nitazungumzia CHUMA ulete mdogo ya CHUNGU.
Chuma uleteee ndogo ya chungu ambayoo inaluka na kwenda kukusanya pesa sehemu mbali mbali inavuta pesa ndanii .
Hii chakula chake ni udi tuu na unaweza kunuwiza ukachagua ukaomba ikuletee pesa za aina gani wewe utachaguwa kama unavyoona hapo kwenye picha hii ni chuma uleteee ndogo mtu yeyotee anaweza kutengenezewa hata kama huna biashala pia hata Kama upo mbali kikubwa tu uwe na uwezo wa kutunza sili. Vile vileee hii inadumu miaka 5 itakubidii uludi kuja kutengeneza upya kafara ya damu ya kuku mwekunduu inatakiwa kila baada ya miezi 3.
Tafuta chungu kama icho kwenye picha fanya duwa maalumu ambayo nitakupatia na tafuta udi Aina ya sain frola, metrofrolla au metromillan na kitambaa cheupe pia chumba kisafi kwa ajili ya ibada hiyo.
Kumbuka hii ni chuma uleteee ndogo ya chungu hutakiwi kutoaa sili ya jini huyu na ufalume wa jini huyu maana utavunja miiko na maagano ya Jambo Hilo.
Angalizo Piga simu kuepuka MATAPELI pia kwa maelekezo zaidi husifanye jambo hili bila maelekezo KAMILI.
DOKTA MDIRO
Call/whatsup +255 742162843