Riwaya:KABURI LA MAMA sehem ya 9
Mwandishi:Alexis wamillazo KING
Contact:0762145481
Dar es salaam TZ

---ILIPO ISHIA---
Yule mgeni alimkabidhi barua mama yake wa kambo achiwalila,kisha akaondoka zake wakati huo achiwalila kaondola polini kutafuta kuni.

----ENDELEA---
"Mmh kwani kunanini mpaka niletewe barua???...eeh mbona sielewi jamani"...Alijiuliza hivyo mama yake wa kambo achiwalila,huku akiwa bado hajaifungua barua aliyopewa na mjumbe
ili ajue ndani ilikua imeandikwa nini zaidi..Lakini yule mama kwa kua shule ilimpiga chenga(HAJUI KUSOMA)..Ilimlazim kuwasabili watoto wake mpaka watakapo toka shuleni na ndio awape ile barua wamsomee..na wakati akiwaza hivyo kwa kuwangoja wanae,punde si punde wakawa wamefika nyumbani...hivyo kabla hata hawajabadilisha sare za shule yule mama wa kambo alimwita mwanae mmoja ambae alikua anamkubali kwa kua na akili shuleni nae hakua mwingine alikua ni noeli..."we noeli..noeli"..Yule mama yake wa kambo achiwalila alimwita mwanae noeli,nae alipo sikia mama yake akimwita aliitika na hataka sana akatii wito..
"Habali za masomo mwanangu"..Mama noeli alimsalimia mwanae noeli baada kumkalibia.
"nzuli tu mama"..Noeli alijibu.
"Anhaaa,sasa noeli leo bwana nimeletewa barua na mtu ambae simjui wala sijawahi kumwona hata siku moja hapa kijijini kwetu,na baada yule mtu kunipa barua akawa ameniambia kwamba kesho nahitajika kwa mwenyekiti..embu shika barua hii hapa uisome maana me naogopa hata kuisoma"..Alisema hivyo yule mama wakambo huku akimkabidhi noeli barua..Na baada noeli kupewa barua ili asome,kweli aliisoma na akawa amekuta barua ikimsisitiza mama yake kutii wito alio itwa na mwenyekiti..."kwani umefanya nini mama"..Noeli alimuuliza mama yake baada kukuta ule ile barua ikimsisitiza mana yake kwenda kwa serikali ya mtaa.
"akha hata mimi sielewi mwanangu,me nilikua nimekaa zangu hapa mala nikaona mtu huyoo anakuja na baiskeli yake..akaanza mala ooooh shika barua na kesho unatakiwa kufika kwa mwenyekiti"..Mama yake wa kambo achiwalila alimjibu hivyo mwanae noeli huku akiongea kwa mshangao.
Lakini yote kwa yote aliamua kuvuta subira akasubiri kesho yake kipi kitaendelea,na ndipo alipo eambia watoto wake wapakue chakula wale chote bila hata kumwachia achiwalila ambae alikua ameenda polini kutafuta kuni kwa niaba ya kupikia chakula.
Na kweli wale watoto hawakufanya kosa,maana waliweza kumaliza chakula chote kama mama yao alivyo waambia istoshe baada kumaliza kula walitia maji kwenye masufuria na vyombo walivyo vitumia kula..Na baada kumaliza chakula punde si punde achiwalila nae akawa amefika nyumbani na mzigo mkubwa wa kuni kichwani,na kwa kua alikua amechoka sana pia njaa kali aliyokua nayo..ilibidi atupe chini mzigo wa kuni kisha akajinyoosha shingo yake.Na kabla hata hajaingia ndani,yule mama yake wa kambo alimwambia"embu tazama pale chini ya kichanja"..Aliambiwa hivyo achiwalila na mana yake wa kambo,hivyo achiwalila ikabidi atazame kitu alicho onyeshwa.."umeona nini"Aliulizwa tena achiwalila baada kutazama kule aliko onyeshwa..."kuna vyombo mama"Alijibu achiwalila..."anhaa sasa nataka kabla hujaingia ndani hakikisha vyombo vile vyote viwe safi"...Daah achiwalila alikasilika baada kuambiwa vile wakati alikua kachoka baada kutoka polini kuchanja kuni,,na kilicho muuma zaidi ni pale alipo ambiwa aoshe vyombo wakati watoto wake wakiwa wanacheza na watoto wenzie,hakika chozi lilimtoka achiwalila lakini hakua na kufanya ilibidi aoshe vile vyombo.

************
Baada achiwalila kumaliza kuosha vyombo,alimwomba mama yake wa kambo chakula maana kutwa nzima alikua hajatia chakula chochote kwenye kinywa chake.Lakini yule mama akamwambia.."chakula hakuna subili chakula cha usiku"Achiwalila aliambiwa hivyo kwa sauti ya ukali na ndipo nae ikabidi awe mpole japo alikua na njaa kali ila alivumilia.
Kweli na hatimae usiku uliweza kuingia, hapo wakati huo achiwalila akiwa amelala nje ya nyumba maana kulikua na mbala mwezi kwaiyo akawa amejilaza nje ya nyumba huku akisubilia chakula cha usiku kwa ham kubwa huku mawzo yote yakiwa kwa marehem mama yake...kwani alitamani kudeka kwa mama yake ila iyo bahati hakua nayo.Lakini wakati yeye achiwalila akiwa kajilaza nje akingojea chakula kiive hatimae alisikia sauti ya mama yake wa kambo ikiwakanya watoto wake kwamba wasikombe mboga,hivyo achiwalila akajua dhahili chakula kimeshaiva ila wameamua kuto muita..nae achiwalila licha ya kujua hilo hakwenda kuwaingilia balia aliwaacha wale tu.
Sasa basi walipo maliza kula nae aliinuka kisha akaingia ndani moja kwa moja alipitiliza chumbani kwake kula na njaa yake..."haaaa we achiwalila wakati tunakula ulikua wapi??..Mama yake wa kambo alimuuliza hivyo achiwalila,lakini nae hakujibu chochote bali alishia kulia huku akijuliza..."hivi kwa nini kila siku mimiiiii na sio wengineee...mama mamaaa njoo uniokoe mwanao nateseka mama"
Achiwalila aliongea hivyo,na ndipo uvumilivu ulipo mshinda na akawa ameangua kilio...Na hata hivyo kilio chake kilizimwa baada mama yake wa kambo kumjia juu akitaka akae kimya kwamba anawapigia kelele...Na hivyo achiwalila akawa anapandisha kwikwi huku machozi yakimtililika kama maji.

Kiukweli alilia sana achiwalila kimya kimya,na kwa bahati mbaya siku hiyo baba yake ailipata zarula kazini kwahiyo akawa hajarudi nyumbani siku hiyo...na ndio maana yule mama wa kambo akawa anamfanyia vitimbwi achiwalila kadri awezavyo.
Basi achiwalila alilia sana usiku huo,ila mwisho akanyamanza na akaanza kazi ya kutafuta usingizi.
Alijitahidi kutuliza akili ili walau apate hata lepe la usingizi,lakini ilishindikana kwa sababu alikua na njaa kali tumboni.

Hivyo mpaka saa sita inafika,achiwalila macho bado hayana hata dalili ya kusinzia hivyo alichoka mbavu kwa kulala ikabidi ainuke kisha akawasha kibatali chake na hata hivyo nacho hakikuwaka maana hakikua na mafuta ya taa...Basi baada kukuta hili ile aliamua kuacha kuwasha kibatali na akawa ameegamia ukuta pale pale kitandani huku akifkilia mambo mbalimbali ambayo yalikua yakimkuta juu yake tangu alipo anza kuishi na mama wa kambo.
Lakini wakati akiwaza na kuwazua,ghafra ulivuma upepo mkali upepo ambao ulikua ukipuliza kuelekea kwenye chumba alichokua analala achiwalila,na punde si punde baada kuvuma ule upepo ilisikika sauti ya marehem mama yake achiwalila ikimuita mwanae...."Mwanangu achiwalila...achi...we achi..achiwalilaaaaa"...Achiwalila aliisikia ile sauti ila akawa amenyamanza kwa kuiskilizia zaidi,na baada kugundua ile ni sauti ya marehem mama yake,aliishukuka kitandani kisha akaelekea kwenye dirisha la chumba chake alafu akafunua panzia ya dirisha na akawa ametupa macho mahali lilipokua kaburi la mama yake...hatimae akamwona mama yake juu ya kaburi akiwa amevaa mavazi meupe kuanzia chini mpaka juu..Kiukweli achiwalila alitamani kwenda pale kaburini maana alijua kwamba endapo kama ataenda pale kaburini,atapata chakula...ila akakumbuka kuwa mama yake wa kambo alishamkanya asitoke nje usiku kwani endapo akimfuma akiwa ametoka nje usiku basi atamfanyia kitu kibaya ..Na wakati akikumbuka hayo,ile sauti ya marehem mama yake ilizidi kumwita mwanae..huku achiwalila nae akiwa bado haelewi aende au aache.
ITAENDELEA
Tanesco mungu anawaona...!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni