Riwaya: MALAIKA WA KUZIMU.
Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA
CONTACT: 0656292416
Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA
CONTACT: 0656292416
SEHEMU YA TANO(05)

***ilipoishia***
cha kistahajabisha kanisa halikuungua hata viti vya mbao havikuguswa na moto huo..
kila muumini aliyetoka hai himo ndani ya kanisa hakuweza kukumbuka chochote kilichotokea...yeye aliona kama ibaada imekwisha.........baada ya lisaa limoja kupita hapakuwepo na mtu hata mmoja nje na ndani ya kanisa hilo isipokuwa mchungaji.....malaika wakuzimu akajitokeza kisha akasema umesamehewa kwa kazi nzuri uliyoifanya kisha akatoweka kimiujiza...mchungaji alizipiga hatua mpaka kwenye kile chumba alichokuwa amewafungia wale watu wawili walio onekana wafu walio hai.....alipofungua mlango mara ghafla.

***Endelea***
wale wafu wawili walionekana kupiga kelele za kuomba msaada....huku wakijikujakunja miili yao kama wanaunguzwa na moto mkali....mchungaji alibaki akiwatazama watu hao.....kisha akafunga mlango wa chumba hicho akazipiga hatua kuelekea pale anaposimama kuiendesha ibaada..
akanyoosha mikono yake juu.....baada ya sekunde kadhaa malaika wa kuzimu alijitokeza akasema""siku ya leo umefanya kazi nzuri sana umemfurahisha MUNGU WA KUZIMU..ameamua kukuongezea nguvu za ziada...aliyasema maneno hayo huku akugusa paji la uso la mchungaji Emmanuel na kumkabidhi kitambaa cheupe....na kusema utatumia kitambaa hiki kila unapoendesha ibaada utakuwa umekishikiria kwa mkono wako wa kushoto...kisha akampa bibilia iliyoandikwa kwa maneno yaliyogeuzwa juu chini""" bibilia hii asiwahi kuigusa binadamu yeyote tofauti na wewe utaitumia kuendesha ibaada.....utakapokuwa unahubiri kwa kutumia bibilia hii utakuwa unamtukuza na kumsifu Mungu wa kuzimu...lakini binadamu wa kawaida wataona kama unahubiri injiri......Mchungaji alipokea kitambaa pamoja na bibilia hiyo..
Malaika wa kuzimu akazipiga hatua kuufuata ukuta uliokuwa mbele ya kanisa hilo akachora Arama ya nyota yenye pembe sita kisha akachora msaraba uliogeuzwa juu chini/chini juu....akazipiga hatua za taratibu akanyoosha mkono wake kwa sekunde kadhaa likajitokeza beseni lililojaa damu ya maiti waliokufa muda mchache...damu hiyo ilionekana kuwa na rangi nyeusi kwa mbali....kisha akasema utatumia damu hii utakapokuwa unafanya ibaada kwa kuiweka kwenye chupa ya plastiki na kuwanyunyizia waumini kipindi unafanya maombi...binadamu wa kawaida hawataweza kutambua kuwa ni damu ya maiti....bali wataona niaji ya kawaida....
kisha Malaika wa kuzimu akatoweka kimiujuza....ghafla ulifuka moshi mkubwa ukitokea kwenye kile chumba alichowafungia wale wafu wawili walio hai.....
akazipiga hatua za haraka kwenda kutazama moshi huo unatokana na nini.

**************
Upande mwingine alionekana monica akitoka chumbani kwake na kuelekea sebuleni....alipofika alichukua picha ya marehemu baba yake na kuitazama huku machozi yakimlenga machoni..
baba monica alifariki miaka mitatu iliyopita kwa ugonjwa wa saratani ya damu(kansa) baba monica alikuwa ni mtu mwenye imani kali sana alikuwa akijitahidi kuyafuata yale yanayompendeza Mungu...ingawa alifanya machache ya kidunia pasipokujua kwa sababu hakuna binadamu aliyekamilika....
miaka kumi na nne(14) iliyopita kabla monica hajazaliwa kipindi hicho mama monica alikuwa na ujauzito upatao wa miezi miwili.....siku hiyo majira ya saa mbili za usiku baada ya kumaliza kula chakula cha usiku baba monica aliingia chumbani na kuanza kusali akimuomba mungu amlinde yeye pamoja na familia yake..alisali kwa masaa matatu mfululizo.....ilipofika saa tano alipanda kitandani na kuanza kuutafuta usingizi...baada ya dakika kadhaa kupita usingizi ulimnyemelea akasinzia kabisa....akiwa usingizini aliota ndoto.....aliota anaongea na mungu...akaambiwa kuwa mtoto aliye tumboni mwa mke wake sio mtoto wa kawaida mtoto huyo atazaliwa kwa ajili ya kupambana na kuangamiza nguvu za giza...
asubuhi palipokucha baba monica alipoamka alishindwa kunyanyuka kitandani mwiliwake ulikuwa umepararaizi hata hakuweza kuongea neno lolote.....alikuwa ni mtu wa kubebwa na kurudishwa kitandani kwa miaka kumi na nne(14)
mama monica alihangaika kila hospitali lakini alipofanyiwa vipimo iligundulika kuwa anasaratani ya damu(kansa) monika alipotimiza umri wa miaka kumi na nne(14) baba yake aliiaga dunia...kwa sasa monica anaumri wa miaka kumi na saba(17)ni miaka mitatu tangu baba yake amefariki...

***************
Monika alifuta machozi akairudisha picha ya baba yake pale juu ya ukuta..kisha akatoka nje akafunga mlango na kuzipiga hatua kutoka nje ya geti....

**********
kule kanisani alionekana mchungaji akizipiga hatua kuufuata mlango wa kile chumba cha siri alipofungua mlango alistahajabu sana,,, aliona wale wafu wawili wamebadilika na kuwa mifupamifupa,, vichwa vyao vilionekana kuwa fuvu..akaufunga mlango haraka akazipiga hatua kutokanje ya kanisa....
wakati huohuo monica alikuwa njiani kuelekea kwenye kanisa hilo baada ya kuona mama yake amechelewa kurudi nyumbani... alipolikaribia kanisa la mchungaji Emmanuel ghafla aliingiwa na roho ya ajabu akawa jasiri sana.....
mchungaji alipotoka nje alikutana uso kwa uso na Monica......mchungaji alistuka sana kumuona monica....sasahivi monica uso wake ulionekana kuwa mkakamavu mchungaji aliweza kugundua kuwa monica sio binadamu wa kawaida ananguvu za ajabu...mchungaji alitimua mbio kuingia ndani ya kanisa kisha akaufunga mlango.
monica alishangazwa na kitendi hicho akasukuma mlango ili aingie ndani amuulize mchungaji kama mama yake alifika kanisani hapo....mlango ulifunguka kwa urahisi monica akaingia upande wa ndani....mchungaji alistahajabu kuona monica kaweza kufungua mlango wakati yeye aliufunga kwa ndani kwa makomeo matatu.monica akaanza kuzipiga hatua kuelekea kule mbele alipokuwa amesimama mchungaji.

ITAENDELEA.......
Usikose kufatilia simulizi hii nzuri ya kusisimua
ungana nami YOZZ PIANO MAYA katika sehemu ya sita(06)
pia usisahau ku-Like page yangu inayoitwa
MAYA WA HADITHI .ili kupata mtiririko mzuri wa RIWAYA zangu kuanzia sehemu ya kwanza..
like pia share na marafiki.

ASANTENI......
nzuriiii
JibuFuta