Ijumaa, 3 Februari 2017

KENGERE YA KIFO SEHEMU YA SABA(07)

Riwaya: KENGERE YA KIFO
Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA
CONTACT: 0656292416
SEHEMU YA SABA(07)
Picha ya Yozz Piano Maya Tz
***ilipoishia***
Tina alishindwa kujibu kutokana yeye hafahamu chochote....haijui siri nzito iliyopandikizwa mwilini mwake......
wakati huohuo walionekana wale walevi wakigonga geti kwa nguvu....ye mle mmojawapo akabonyeza kengere kwa mara nyingine tena.
Domy akiwa anamuuliza Tina maswali mara ghafla Tina akastuka....akainamisha uso wake chini......Domy alikasirika sana aliona kama Tina kamdharau kuwa yeye anamuongelesha alafu Tina kainamisha uso wake chini....
Domy akaamua kumsogelea Tina huku amenyanyua mkono ampige kofi......
***Endelea***
Tina alipoinua uso wake, Domy alishtuka macho yakamtoka alistaajabu kumuona tina amebadilika huku macho yake yanayotokwa na machozi ya damu,Domy akatimua mbio kuelekea chumbani wakati huo huo wale walevi waliendea kubofya kitufe cha kengele,Tina akatoweka kimiuzija kuufuata mlio wa kengere.
****************
wakati huohuo ule upande mwingine walionekana wale walevi wawili..kisha mmojawapo akazipiga hatua kadhaa akasimama kando na kuanza kujisaidia haja ndogo...ghafa akajitokeTina akiwa kwa mbali kidogo kutoka hapo walipo walevi hao.....akazipiga hatua kuwafuata.....yule mlevi aliyekuwa akijisaidia haja ndogo akamuona Mwanamke akija upande wao huku ameinamisha uso wake chini.....yule mlevi akaingiwa Tamaa ya kutaka kumtongoza Tina...akafunga zipu haraka haraka.akasimama huku anayumba yumba kwa ulevi...Tina alipomkaribia yule mlevi akamfuata..ghafla Tina akainua uso wake...ye mlevi akastuka akaogopa sana Tina akamkamata na kunyonga kwa kutumia ile kamba yake....wakati huohuo yule mlevi mwingine akageuka akaogopa sana kumuona mwenzake ananyongwa....pombe zikamruka,,akaanza kutimua mbio..alikimbia bila kujua ni wapi anaelekea..Tina akajitokeza mbele yake...akamkamata akamnyonga kwa kutumia ile kamba.......kisha akazipiga hatua kadhaa akatoweka kimiujiza.....baada ya sekunde kadhaa akajitikeza nyumbani..akawa anajishangaa..
********************
wakati huohuo Domy alionekana akiwa kajifungia chumbani huku mapigo yake ya moyo yakipiga kwa kasi ya ajabu...jasho lilimtoka mfululizo...akaona chumbani hapakaliki,,akaamua kufungua mlango wa chumbani akachungulia kule upande wa sebuleni..akamuina Tina yupo katika hali yake ya kawaida huku akionekana kujishangaa....Domy akatoka chumbani huku akizipiga hatua za tahadhari..alitembea huku macho yake yakimtazama Tina...alipomkaribia akamuita Tina kwa sauti ya chini,,Tina...Tinaaaa
Tina akastuka akamtazama Domy...hali yake ya ufahamu ikarudi akaitika," Abee mume wangu.
Domy hakutaka kuuliza kitu chochote akaogopa hata kumsogelea.....Tina alijisikia vibaya,,alitamani kujua ni nini kimetokea lakini alishindwa jinsi ya kumuuliza Domy....Tina akaamua kuzipiga hatua kuelekea chumbani...akamuacha Domy kasimama palepale sebuleni,,Domy akajiuliza,,"yawezekana Tina ni jini...au niliona vibaya...mmh!! lakini sidhani kama macho yangu yalinidanganya....
***************
Upande mwingine kule kwenye mgahawa wa mzee Sule.....alionekana yule mtu aliyeafiza ugali nyama choma akiendelea kula ugali pamoja na nyama hiyo matata....akapaza sauti,,"niletee chumvi na ndimu....pia niongezee pilipili..aliyasema maneno hayo huku akiendelea kutafuna minofu ya nyama......baada ya sekunde kadhaa kupita aliletewa vitu alivyoagiza...akachukua ndimu akakamulia kwenye nyama ile..kisha akaweka na pilipili..akachukua mnofu mwingine akala pamoja na tinge la ugali....ghala kunakipande cha nyama(mnofu) aliuona kama haujaiva vizuri ulikuwa haujakauka...akastuka akakitazama kwa makini akaona mchoro....akajisemea moyoni,,"mmh!!! mbona kama inaonekana ni tatoo! ng'ombe gani huyu alichorwa mchoro wa tatuu ambayo huchorwa kwenye mwili wa binadamu??
kutokana nyama ile ilikuwa imeshachomwa alafu imekatwakawa vipande...mchoro ule haukuonekana wote..ulionekana nusu tena kwa mbali sana...mtu yule akajipa moyo kuwa hiyo ni nyama ya ng'ombe..hakuwa na shaka kuwa kwenye mgahawa huo awawezi kupika nyama ya binadamu.......akajisemea moyoni,,"yawezekana mmiliki wa mgahawa huu ni mfugaji...itakuwa anang'ombe nyingi sana.....hata hivyo wanachoma nyama vizuri tamu sana..ndio maana watu wanajazana kula kwenye mgahawa huu usiku na mchana..
wakati huohuo alionekana mzee sule akiwa barani anaendesha gari lake...akakatisha kona na kutokezea kwenye ile nyumba ambayo wale walevi wawili walinyongwa na Tina..akachukua maiti zao na kuzirusha nyuma ya gari...kisha akaingia ndani ya gari na kuliwasha akaondoka zake.....
******************
Upande mwingine alionekana Domy akizipiga hatua za taratibu kuelekea chumbani...lakini alikuwa na hofu na wasiwasi kuhusu Tina huenda akamdhuru....akafungua mlango na kuingia chumbani akamkuta Tina amevua nguo kabaki mtupu(uchi) kajilaza kitandani......pia Domy akapanda kitandani,,kutokana na umbile la Tina kuwa na mvuto wa aina yake Domy akapata hamasa ya kuanza kumpapasa Tina.....akasahau yale yote aliyotoka kuyaona muda mchache uliopita.....Tina hakutambua wala kujua chochote kilichotokea kwa sababu alikuwa hana uwezo wa kujitambua na kujizuia anaposikia mlio wa kengere.......
***************
upande mwingine walionekana maaskari wakiwa katika gari la polisi wakifanya doria kwenye mitaa usiku huo.wakakatisha kona na kuliegesha gari lao kando ya barabara kisha wakashuka kutoka ndani ya gari wakasimama barabarani kuhakikisha kila gari inayopita lazima ikaguliwe.....kumbe kunatukio la ujambazi limefanyika muda mchache uliopita ala majambazi wakakimbia na kuondika enei la tukio wakiwa na gari aina ya TOYOTA PICK UP.
wakati huohuo alionekana mzee sule akikatisha kona kuifuata barabara hiyo ambayo wale maaskari walikuwepo...aliliendesha gari lake bila wasiwasi akaingia kabisa kwenye barabara...
ITAENDELEA.......
Usikose kufatilia simulizi hii nzuri ya kusisimua
ungana nami YOZZ PIANO MAYA katika sehemu ya nane(08)
pia usisahau ku-Like page yangu inayoitwa
MAYA WA HADITHI .ili kupata mtiririko mzuri wa RIWAYA zangu kuanzia sehemu ya kwanza..
like pia share na marafiki.
ASANTENI....‎

Jumanne, 31 Januari 2017

THE POWER OF LOVE SEHEMU YA 10.

HADITHI.
THE POWER OF LOVE.
SEHEMU YA 10.
Picha ya Hamis Mpendu Jr.
Ilipoishia...........
"NGO,NGO,NGOOOO,wenyewe humu ndani, sauti hiyo kutoka kwa mgongaji ndiyo iliyositisha starehe ya issa na zarina, mbaya zaidi mgongaji alikuwa mwanamke tena aligonga kwa fujo,,
NGO,NGO,NGOOOOO,,mgongaji aliendelea,,,,

BWABWAJIKA NAYO SASA
Si issa wala zarina aliye endelea na alichokuwa anakifanya wote waliduwaa,fujo za mgongaji ziliwaogopesha sana,,
" mbona sauti ya mwanamke nani yako huyo" zarina aliuliza akiwa mwenye kuhisi kitu,,
"Ngoja kwanza" issa alijibu kisha akajinyanyua hadi mlangoni hapo akachungulia,,
"Mtumeee"!! alichokiona issa kilimfanya aishiwe nguvu, mwanamke mmoja mnene alisimama mlangoni akiwa kafura kwa hasira, taa nyekundu iliwaka kunako kichwa cha issa kwa maana alijuwa nini maana ya ujio wa mwanamke huyo, hapo akafungua mlango kisha akatokeza kichwa,,
" wacha kunichungulia wewe eboo" mama yule aliwaka,,
"Shkamoo mama"
"Sina haja ya shikamo yako"
"Lakini mam.........,,
" we koma weee!! nani mama ako"
Issa alikuwa mdogo kama kifungo cha shati mama aliyesimama mbele yake alikuwa ni mama mwenye nyumba mbaya zaidi walimpa ahadi aje baada ya wiki moja kuchukuwa pesa yake kodi,,
" njoo kesho mama"
"Khaa!! We mwehu, yani nyumba yangu afu unisumbuwe sumbuwe lete changu kama hauna toa kila kilicho chakwenu",, mama yule aliongea kwa jazba na kufanya povu limtoke kama haji manara,,
" khee jaman kwani kuna nini hapa" alikuwa zarina kelele za wawili hao ndizo zilizo mfanya ajisogeze,,
"Issa huyu nani" zarina aliongeza
"Maza house huyo" ,, wakati huo mama yule alikuwa anatingisha mguu mmoja kwa dharau huku akibinya midomo hasa baada ya ujio wa zarina,,
"Shkamoo mama"
"Kua nawewe upate yako"
"Ok! Unashida gani na issa wangu"? Zarina aliongea huku akimkumbatia issa kisha akamtwanga busu la shavuni,,alifanya hivyo baada ya kugundua kuwa mama aliye mbele yake alikuwa anamnyali"
"Eeeeh! Sijakuja kwenye interview hapa, maswali kibaaao khaaa!!,,
"munadaiwa shng ngapi my husband "
"Laki na ishirini"
"OK"
Zarina alirudi ndani baada ya sekunde kadhaa alirejea na elfu kumi kumi zisizo punguwa kumi na mbili kisha akamkabidhi mama mwenye nyumba,,
Walirudi ndani lakini issa alionekana ni mwingi wa mawazo,,
"Usijari my" zarina alimtoa hofu,,
" Ok!! nashkuru sana zarina kwa kunijari"
"Usijari pia"
"Kuna kitu naomba nkuulize" issa alisema,,
" kitu gani hicho?"
"Ulijuwaje kama nipo hospital"?
" Nilihisi tu",, zarina alitia utani,
Ukweli zarina alienda hospital kwa kupata dawa ya kuongeza hamu ya kula kwa maana muda mwingi aliutumia kumuwaza issa kuliko hata kufikilia kulijaza tumbo lake hata alipofika hospital na kumuona issa alijihisi kupona kabisa,,
"Kwahi.........." Issa hata kabla hajamalizia kauli yake aliwekewa kidole mdomoni ishara ya kuambiwa wacha maneno weka muziki,,
Zarina alimkalia issa kisha akamuinamia na kuanza kubadilishana mate kwa pupa,,mikono ya issa ilikuwa juu ya mgongo wa zarina ikafanya dolia,, taratiibu issa alishushu mikono yake hadi kunako makilo ya zarina akawa na kazi ya kuyabinya binya na kuyapiga makofi yasiyo na maumivu,, issa alimgeuza zarina na kisha yeye akawa juu,,walitumia sekunde moja kisha wote wakabaki kama walivyo zaliwa,, issa alianza kuzifakamia chuchu za zarina kwa ufundi wa hali ya juu ambapo alizitumbukiza mdomoni kwa awamu kisha akawa na kazi ya kuzibana kwa meno,,
"Shhsshhhhhhhhh aaaaah" yes issaaaa,, wakati yakimtoka hayo macho yake yalikuwa meupe kama wingu la mchana alifanya kazi ya kuyafumba na kuyafumbua huku akitolea sauti puani kama anajifungua, mikono yake alikuwa mbavuni kwa issa tena alitumia kucha zake ndefu kuuparaza mwili wa issa,,
Issa alishusha mkono wake hadi kunako mgodi wa zarina kisha katumbukiza dole la kati,,
"Hoooooooh aaah! Zarina alibinuka kisha akanyonga kiuno mara baada ya dole la issa kuzama bila ya aibu,, issa aligandisha kidole chake akawa na kazi ya kuzitazama pumzi za zarina aliyekua anapumuwa kwa shida tena akiwa amefumba macho huku akipiga nyonga kama anasukumiza mtoto,,zarina hakutaka kubaki nyuma taratibu nae akaikamata maiki ya issa akawa na kazi ya kuisugua kama mtu anae piga nyeto,,
" Aaaaaaaah" issa aligugumia kwa mautamu ambapo alianza kusugua sehem ya juu kunako kitumbua cha zarina na kufanya zarina apige ukelele wa raha,,
"Oooooooh,sshhhsshhhhh, no beyb nooooh" alisema no wakati ndiyo kwanza anamkumbatia issa kwa pupa kisha alinyonga kiuno na kushusha pumzi ndefu alionekana tayari alivunja kiyai chake cha mjusi chenye maji machache,,
Wawili hao walipeana mautamu hadi walipo tosheka kisha wakajimwagia maji kwa pamoja,,kutokana na muda kuwa umeenda sana zarina aliaga na kumuachia kiasi cha pesa ya matumizi mpenzi wake na kusepa zake huku akimsifia na kumuambia kesho atakuja kulala nayo,,
Mapenzi yao yalizidi kunoga siku baada ya siku, zarina alichukuwa uwamuzi wa kumpangia mpenzi wake nyumba moja maeneo ya bungoni huko ndiko alipo malizia kiu yake kwa maana walijiachia kama mke na mume,,miezi kadhaa ikatokomea ambapo zarina na issa walipanga mikakati ya kuowana tena walibakiza mwezi mmoja tu wawe mume na mke,,
Siku mmoja zarina akiwa kapiga pozi maeneo ya nyumani kwake alipkea simu kutoka kwa maiko ambaye alikuwa mwanaume wake kabla ya kukutana na issa na ndye mwanaume aliye mpotezea usichana wake,,uhusiano wa zarina na maiko ulisitishwa mara baada ya maiko kuelekea uingereza kimasoma zaidi miaka miwili iliyopita,, hawakuwa na mawasiliano hali ambayo ilimfanya zarina apoteze matumaini juu ya mwanaume huyo aliye kuwa amepanga nae mengi zaidi kuliko hata alyoponga na issa, mbaya zaidi maiko alikuwa ni mtoto wa kitajiri,,
Maiko alipiga simu akiwa nje ya nchi akitoa taarifa ya kurejea Tanzania baada ya wiki moja,,zarina aliishiwa pozi mara baada ya kupokea taarifa hiyo hapo akauma meno huku akikuna kichwa chake kwa mawazo rukuki, tayari alikuwa kwenye njia panda,
" hata hivyo maiko alikuwa wa kwanza kuliko issa" zarina aliwaza ,,
"Mmh!! Ntaanzaje kumuacha issa"
"Yes, nshapata wazo lazima nifanye kitu kabla maiko hajarudi",,
Baada ya mawazo hayo alitabasam kisha akaliendea bafu ili kusafisha mwili wake,,,,,